Hatari tupu...!! BASKET MOUTH alivyoitikisa Tanzania - 31/12/2017

Azam TV · 246,571 views
Wasakatonge New Year’s Eve Comedy Gala ni tamasha kubwa la kimataifa la Comedy lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam, Tanzania usiku wa mwaka mpya (31/12/2017).

Baadhi ya wasanii waliotikisa jukwaa hilo ni pamoja na Dogo Pepe, MC Pilipili, Kokoro kutoka Mombasa, Prof. Hamo kutoka Nairobi, Basket Mouth kutoka Nigeria pamoja na wasanii saba chipukizi waliopatikana kupitia usaili uliofanywa na Azam TV

loading...